Tumekuwa na wakati mzuri wa kujifunza na kuomba kwenye kongamano la vijana la CYCN JIJINI MBEYA. jumapili hii Mkoa wa Iringa Tarehe: 15:05:2016 RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY ( RUCU) Kama wewe ni kijana na uko Iringa karibu tushiriki pamoja
No comments:
Post a Comment