KONGAMANO KUBWA LA VIJANA MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO ''Mwl. Tuntufye Mwakyembe''
Kamati ya Changing Youth Changing Nation (CYCN)Mkoa wa Iringa
Inakuletea
KONGAMANO LA VIJANA MKOA WA IRINGA
SOMO; NGUVU YA MAONO
MUDA; 1;00 PM - 6;00 PM
TAREHE; 15 MAY 2016
MAHALI; RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY
(RUCU HALL ''D'')
Do not feed your hunger feed your vision....
Vijana wengi wako bize kutafuta mafanikio kiasi kwamba wako teyari hata kuacha Maono yao, misimamo yao, Focus walizokuwa nazo kumbuka ukiwa mwaminifu kushika
kile ulichonacho, maono yako huo ndio Mtaji wako uliopewa kabla ya kuumbwa kwa
misingi ya ulimwengu.
No comments:
Post a Comment