CYCN (Changing Youth Changing Nation)
- Start DateFounded on December 7, 2008
- Short DescriptionCYCN (Changing Youth Changing Nation) Non interdenomination youth gatherings/ fellowships
Mwl. Tuntufye A.Mwakyembe - Long DescriptionCYCN (Changing Youth Changing Nation)
Taasisi hii ina lengo la kuwakutanisha vijana walioko vyuoni, sekondari, kwenye maeneo ya biashara na wafanya kazi. Wanaomkiri na kumtegemea Bwana Yesu katika mambo yao.
Walijue kusudi la Mungu mahali walipo na hatimae Mungu apate heshima juu ya nchi.
MALENGO
1. Kijana kulijua kusudi la Mungu kwenye maisha yake.
2. Kujua jinsi ya kujiandaa kuwa kiongozi na jinsi anavyoweza kulibadilisha Taifa lake.
3. Kujifunza mbinu mbalimbali za kujikwamua kiuchumi
WALENGWA
i. VIJANA WOTE WALIOKO SEKONDARI NA VYUONI.
ii. VIJANA WALIOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI
iii. VIJANA WOTE WALIOKO MAKAZINI, KWENYE BIASHARA.
iv. WATUMISHI WA MUNGU WENYE MZIGO NA VIJANA NA PIA WENYE MAONO YA KULIBADILISHA TAIFA LETU.
HOSEA 4:6
- MissionCHANGE OF YOUTH MIND SET IS NECESSARY FOR THE CHANGE OF THE NATION
( KUBADILISHA MTAZAMO WA VIJANA NI JAMBO LISILOZUILIKA KWA MABADILIKO CHANYA YA TAIFA. ) - Phone0767 629 562
- Emailtuntufyemwakyembe@yahoo.com
No comments:
Post a Comment