CYCN

CYCN

Sunday, May 15, 2016

LIVE!! KONGAMANO LA VIJANA " NGUVU YA MAONO"

LIVE!!! KONGAMANO LA VIJANA "NGUVU YA MAONO"

LIVE !!!!!!

KONGAMANO KUBWA LA VIJANA MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO ''Mwl. Tuntufye Mwakyembe''

SOMO; NGUVU YA MAONO

MUDA; 1;00 PM - 6;00 PM
TAREHE; 15 MAY 2016
MAHALI; RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY 
(RUCU HALL ''D'')

KONGAMANO KUBWA LA VIJANA  MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO '
NGUVU YA MAONO "Mwl. Tuntufye Mwakyembe" http://apostledarmacy.blogspot.com/2016/05/nguvu-ya-maono-tuntufye-mwakyembe.html

Credit to Blogger 
Damas Anthony
+255769020921

THE POWER OF VISION " Mwl. Tuntufye M"

NGUVU YA MAONO " Mwl.Tuntufye Mwakyembe."

Live!!!!!!

Ni Leo . 

KONGAMANO KUBWA LA VIJANA MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO ''Mwl. Tuntufye Mwakyembe''

SOMO; NGUVU YA MAONO

MUDA; 1;00 PM - 6;00 PM
TAREHE; 15 MAY 2016
MAHALI; RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY 
(RUCU HALL ''D'')

Tuesday, May 10, 2016

KONGAMANO LA VIJANA MBEYA " Mwl. Tuntufye M (CYN)

Tumekuwa na wakati mzuri wa kujifunza na kuomba kwenye kongamano  la vijana la CYCN JIJINI MBEYA.
jumapili hii  Mkoa wa Iringa
Tarehe: 15:05:2016
RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY ( RUCU)
Kama wewe ni kijana na uko Iringa karibu tushiriki pamoja

Sunday, May 8, 2016

KONGAMANO KUBWA LA VIJANA MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO ''Mwl. Tuntufye Mwakyembe''

Kamati ya Changing Youth Changing Nation (CYCN)Mkoa wa Iringa

 Inakuletea

KONGAMANO  LA VIJANA MKOA WA IRINGA 

SOMO; NGUVU YA MAONO

MUDA; 1;00 PM - 6;00 PM

TAREHE; 15 MAY 2016

MAHALI; RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY 

(RUCU HALL ''D'')

 




Do not feed your hunger feed your vision.... 

Vijana wengi wako bize kutafuta mafanikio kiasi kwamba wako teyari hata kuacha Maono yao, misimamo yao, Focus walizokuwa nazo kumbuka ukiwa mwaminifu kushika kile ulichonacho, maono yako huo ndio Mtaji wako uliopewa kabla ya kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.

 

 

CYCN (Changing Youth Changing Nation)

CYCN (Changing Youth Changing Nation)

  • Start Date
    Founded on December 7, 2008
  • TUNTUFYE ANDREW MWAKYEMBE, 
     
    S.L.P 2178 Arusha, Tanzania
  • Short Description
    CYCN (Changing Youth Changing Nation) Non interdenomination youth gatherings/ fellowships
    Mwl. Tuntufye A.Mwakyembe
  • Long Description
    CYCN (Changing Youth Changing Nation)
    Taasisi hii ina lengo la kuwakutanisha vijana walioko vyuoni, sekondari, kwenye maeneo ya biashara na wafanya kazi. Wanaomkiri na kumtegemea Bwana Yesu katika mambo yao.
    Walijue kusudi la Mungu mahali walipo na hatimae Mungu apate heshima juu ya nchi. 


    MALENGO
    1. Kijana kulijua kusudi la Mungu kwenye maisha yake.

    2. Kujua jinsi ya kujiandaa kuwa kiongozi na jinsi anavyoweza kulibadilisha Taifa lake.
    3. Kujifunza mbinu mbalimbali za kujikwamua kiuchumi

    WALENGWA

    i. VIJANA WOTE WALIOKO SEKONDARI NA VYUONI.

    ii. VIJANA WALIOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI

    iii. VIJANA WOTE WALIOKO MAKAZINI, KWENYE BIASHARA.

    iv. WATUMISHI WA MUNGU WENYE MZIGO NA VIJANA NA PIA WENYE MAONO YA KULIBADILISHA TAIFA LETU.

     
    HOSEA 4:6
  • Mission
    CHANGE OF YOUTH MIND SET IS NECESSARY FOR THE CHANGE OF THE NATION
    ( KUBADILISHA MTAZAMO WA VIJANA NI JAMBO LISILOZUILIKA KWA MABADILIKO CHANYA YA TAIFA. )
  • Products
    Tumekuwa tunandaa makongamano ya wanafunzi wa vyuo na sekondari ili kuwafundisha umuhimu wa kubadilisha mitazamo yao kimaisha ili kulijua kusudi la Mungu kwa mafanikio yao na Taifa.
  • Phone
    0767 629 562
  • Email
    tuntufyemwakyembe@yahoo.com