CYCN
Friday, November 11, 2016
kongamano la vijana mkoa wa iringa ''THE MAGIC OF YOUR PONTENTIAL''
Sunday, May 15, 2016
LIVE!! KONGAMANO LA VIJANA " NGUVU YA MAONO"
LIVE!!! KONGAMANO LA VIJANA "NGUVU YA MAONO"
LIVE !!!!!!
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO ''Mwl. Tuntufye Mwakyembe''
SOMO; NGUVU YA MAONO
MUDA; 1;00 PM - 6;00 PM
TAREHE; 15 MAY 2016
MAHALI; RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY
(RUCU HALL ''D'')
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO '
NGUVU YA MAONO "Mwl. Tuntufye Mwakyembe" http://apostledarmacy.blogspot.com/2016/05/nguvu-ya-maono-tuntufye-mwakyembe.html
Credit to Blogger
Damas Anthony
+255769020921
THE POWER OF VISION " Mwl. Tuntufye M"
NGUVU YA MAONO " Mwl.Tuntufye Mwakyembe."
Live!!!!!!
Ni Leo .
KONGAMANO KUBWA LA VIJANA MKOA WA IRINGA -NGUVU YA MAONO ''Mwl. Tuntufye Mwakyembe''
SOMO; NGUVU YA MAONO
MUDA; 1;00 PM - 6;00 PM
TAREHE; 15 MAY 2016
MAHALI; RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY
(RUCU HALL ''D'')
Tuesday, May 10, 2016
KONGAMANO LA VIJANA MBEYA " Mwl. Tuntufye M (CYN)
Tumekuwa na wakati mzuri wa kujifunza na kuomba kwenye kongamano la vijana la CYCN JIJINI MBEYA.
jumapili hii Mkoa wa Iringa
Tarehe: 15:05:2016
RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY ( RUCU)
Kama wewe ni kijana na uko Iringa karibu tushiriki pamoja
Sunday, May 8, 2016
CYCN (Changing Youth Changing Nation)
- Start DateFounded on December 7, 2008
- Short DescriptionCYCN (Changing Youth Changing Nation) Non interdenomination youth gatherings/ fellowships
Mwl. Tuntufye A.Mwakyembe - Long DescriptionCYCN (Changing Youth Changing Nation)
Taasisi hii ina lengo la kuwakutanisha vijana walioko vyuoni, sekondari, kwenye maeneo ya biashara na wafanya kazi. Wanaomkiri na kumtegemea Bwana Yesu katika mambo yao.
Walijue kusudi la Mungu mahali walipo na hatimae Mungu apate heshima juu ya nchi.
MALENGO
1. Kijana kulijua kusudi la Mungu kwenye maisha yake.
2. Kujua jinsi ya kujiandaa kuwa kiongozi na jinsi anavyoweza kulibadilisha Taifa lake.
3. Kujifunza mbinu mbalimbali za kujikwamua kiuchumi
WALENGWA
i. VIJANA WOTE WALIOKO SEKONDARI NA VYUONI.
ii. VIJANA WALIOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI
iii. VIJANA WOTE WALIOKO MAKAZINI, KWENYE BIASHARA.
iv. WATUMISHI WA MUNGU WENYE MZIGO NA VIJANA NA PIA WENYE MAONO YA KULIBADILISHA TAIFA LETU.
HOSEA 4:6
- MissionCHANGE OF YOUTH MIND SET IS NECESSARY FOR THE CHANGE OF THE NATION
( KUBADILISHA MTAZAMO WA VIJANA NI JAMBO LISILOZUILIKA KWA MABADILIKO CHANYA YA TAIFA. ) - Phone0767 629 562
- Emailtuntufyemwakyembe@yahoo.com